Uwanja umejaa mpaka kutapika, Asante mama kizimkazi kwa kutuharibia nchi yetu nzuri yenye umoja na mshikamano

Uwanja umejaa mpaka kutapika, Asante mama kizimkazi kwa kutuharibia nchi yetu nzuri yenye umoja na mshikamano

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
25,050
Reaction score
45,202
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU mtakatifu sana

Badala ya upendo umeleta chuki

Badala ya umoja umeleta mgawanyiko

Haya yote yametokea baada ya wewe kutaka usifiwe na kila mtu utazan na wewe umekuwa kinanda au MUUMBA

Ulianza na mabango ukahamia kwa machawa

Umetuhalibia inchi yetu
MUNGU akuhukumu

SAYUNI BOY
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
images (23).jpeg
 
Ila nchi hii bwana. Wameamua kuanza kujaza vijana wa JKT viwanjani ili kuondoa aibu. Kule Zanzibar wanacheza Burkina Faso na Madagascar ila nasikia mchiriku unapigwa majukwaani. Hata hiyo mechi ya Taifa wamejaza watu wao upande ule wa pili.

Haya yote yanasababishwa na kiburi, ujinga na ubinafsi.
 
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU mtakatifu sana

Badala ya upendo umeleta chuki

Badala ya umoja umeleta mgawanyiko

Haya yote yametokea baada ya wewe kutaka usifiwe na kila mtu utazan na wewe umekuwa kinanda au MUUMBA

Ulianza na mabango ukahamia kwa machawa

Umetuhalibia inchi yetu
MUNGU akuhukumu

SAYUNI BOY
Ila Watanzania mijitu ya OVYO sana, ni lini huo Uwanja ulijaa kwa mechi za Taifa Stars kwa watu kulipia ticket kabisa?
 
Back
Top Bottom