OK uwanja upo umbali wa nusu km kutoka barabara kuu ya Tanzania na Zambia uwanja haujapimwa hauna hati karibu mkuu
Uwanja upo iyunga kalibu na kituo cha afya iyunga umeme maj barabr vyote vipo, bei milion2 maongezi yapo[emoji337] 0766 85 71 20 View attachment 1081536View attachment 1081537
Sawa mkuu nifundishe bc
ππππππ ko unavyoendelea kumpiga pindi unakula nyama?Choma nyama kilo hapo iyunga ikikaribia kuwa teari niambie nije nikufundishe
ππππππ ko unavyoendelea kumpiga pindi unakula nyama?