Plot4Sale Uwanja unauzwa mbeya jiji iyunga

Plot4Sale Uwanja unauzwa mbeya jiji iyunga

mwakyindi

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2018
Posts
1,599
Reaction score
2,192
Uwanja upo iyunga kalibu na kituo cha afya iyunga umeme maj barabr vyote vipo, bei milion2 maongezi yapo[emoji337] 0766 85 71 20
IMG_20190426_093425.jpg
IMG_20190426_093532.jpg
 
Mkuu weka data zote hapa, kama ukubwa wa viwanja, ni umbali gani kutoka main road na he vimepimwa? Data hizi ni muhimu sana hapo ndipo mtu amaweza kukupigia simu ili spate maelezo zaidi
 
OK uwanja upo umbali wa nusu km kutoka barabara kuu ya Tanzania na Zambia uwanja haujapimwa hauna hati karibu mkuu
 
Unaweza nunua mbuzi kwenye gunia hiviiiiiiii hiviiiiiiiiiiiii.....
 
kwa maeneo hayo unayoyasema,huwezi pata uwanja kwa bei hiyo..labda kama umeamua kufurahisha watu tu humu
 
Eneo hilo iyunga two million? Umakini muhimu hapo kwa aliye interested
 
Back
Top Bottom