Kerosine Bal
JF-Expert Member
- Mar 18, 2014
- 247
- 231
Wakurungwa salamaaa, naomba kujua ukubwa wa Uwanja wa Azam Complex (sehemu ya kucheze - Pitch) ni sawa na Uwanja wa Mkapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku ya azamka nilimsikia mchambuzi akisema pitch ya azam complex na ya kwa mkapa zote ni sawa kwa ukubwa, zikiwa na urefu wa 105 upana nimesahau.Wakurungwa salamaaa, naomba kujua ukubwa wa Uwanja wa Azam Complex (sehemu ya kucheze - Pitch) ni sawa na Uwanja wa Mkapa?
Kwa mwonekano pitch ya Azam inaoneonekana ni kubwa kuliko kwa Mkapa. Hasa upana.
una uhakika Azam pitch ni ndogo? manake mi kesho naenda kuvipima viwanja kwa kuzunguka kila uwanja kwa mbio kali za Usain Bolt uwanja utakaonichosha ndio mkubwaUwanja lazima upime 125m x 85m (yadi 136 x 93), au kiwango cha chini cha 120m x 80m (yadi 131 x 87) na lazima kuwe na kiwango cha chini cha 1,5m ya ardhi zaidi ya eneo la kucheza lililowekwa alama.
AZAM ni MDOGO kuliko taifa.
utanicheki twende.una uhakika Azam pitch ni ndogo? manake mi kesho naenda kuvipima viwanja kwa kuzunguka kila uwanja kwa mbio kali za Usain Bolt uwanja utakaonichosha ndio mkubwa
Mimi niliwashangaa eti walisema ni 105x68 sawa na taifa. Ila kwa macho chamazi ni mdogo.Siku ya azamka nilimsikia mchambuzi akisema pitch ya azam complex na ya kwa mkapa zote ni sawa kwa ukubwa, zikiwa na urefu wa 105 upana nimesahau.
madhara ya balimi kushushia na ugoromaswali ya hivi huwa naruka nayo kesho nikimaliza kazi nitaenda kuvipima viwanja vyote hua sipendi mabishano yenye majibu nje nje.
ooh sijui nani mbabe na mzito zaidi kati ya Manonga na Yanga wakizichapa kavu kavu !!
Sasa tuhamie kwa Makolo FC special dedication kwenu Makolo nini iko shida bhana Mooooo na demu wetu mrembo Barabarani hii Mitola iko feli kazi eeh? mbona Mitola haichomoki kwa benchi la uchawi aka ufundi?
LETE MZUNGU sasa hii nyingine yote hii Soko la Kariakoo na duguye Banda la uwani zote ziko butu, ile Kanyuti bin Marafu ya hovyo iko butu , Kibo mountain bin Madred nayo kimbia kimbia ruka ruka tu bila maajabu iko butu ile na sijui ile ingine Kagera river nasikia mmeitupia Singapore sebuleni kwa Feitoto kule kwa Singapore Big Stars nayo eti iko BUTU pia!