Uwanja wa Azam na ubora wa taa

Uwanja wa Azam na ubora wa taa

Unknown

Senior Member
Joined
Apr 12, 2010
Posts
164
Reaction score
102
Nangalia mechi ya azam na gwambina, vivuli vya wachezaji ni vingi mno, mchezaji mmoja anaweza kuwa na vivuli vinne, hii inahalibu ubora wa picha. Wakuu nyie mnaonaje au ni ushamba wangu
 
Azam complex hakuna uwanja pale kwa usiku nashangaa hao TFF wamekaa kimya hadi sasa.
 
Wanahitaji Taa za kuclear hivo vivuli
 
Kuna moja ya goli alilofungwa mlinda mlango wa Gwambina na Nado, bila shaka lilisababishwa na hilo tatizo.
 
Back
Top Bottom