Uchaguzi 2020 Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. John Pombe Magufuli

Zanzibar 99% ni waislam vipi ccm huko inakubalika eeh? Huko mara zote ccm inapata ushindi wa kishindo?
 
Zanzibar 99% ni waislam vipi ccm huko inakubalika eeh? Huko mara zote ccm inapata ushindi wa kishindo?
Zanzibari sio kama wanapinga CCM Bali Wazanzibari wanataka mamlaka katika nchi yao
CCM kule Zanzibar haina chake Kadri siku zinavyozidi kwenda Ndio inapoteza mvuto maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…