Uwanja wa Benjamin Mkapa | Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC Vs Plateau United

Uwanja wa Benjamin Mkapa | Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC Vs Plateau United

Ngoja nijaribu mahesabu ya Sheikh
S=24
P=21

Leo Simba anashinda tena kiulainii kwani siku na tarehe na mwezi vinambeba. Nyota ya Simba leo inang'aa kwani inakaribiana na siku ya leo tofauti na plateu.

Masahbiki wa Simba nendeni uwanjani kifua mbele.

NB. Msiniulize nimejuaje.
Nimekosea kidogo ila tumesonga mbele.

Gongowazi la Utopolo msubiri mbeleko mwakani tutawabeba twende wote

Mtani Shadeeya nakuona unacheka. Kesho muwasindikize ndugu zenu Julius Nyerere airport.
 
Daah yaani Tanesco wa sumbawanga ni wapumbavu wakubwa kabsa, sijawai ona upumbavu wa tanesco kama unaofanywa mkoa wa rukwa
Huko maisha yote umeme ni wa kingese sana, nilikuwa huko mwaka 2011 hadi 2013 yaani ilikuwa ni kero tupu
 
Awa jamaa awajacheza mashindano yoyote tangu mwezi wa 3 inamaana metch fitness wamepata wakati wanacheza na Simba ii inaonyesha jinsi wenzetu walivyo piga hatua. Ukumbuke Simba ndio wako kwenye ubora wao kabisa.
Nani ameenda hatua ya pili?
 
Utopolo wanarukaruka saiv wamehamia kwa wazimbwabwe, hawajui ka wanampiga chura teke
 
Awa jamaa awajacheza mashindano yoyote tangu mwezi wa 3 inamaana metch fitness wamepata wakati wanacheza na Simba ii inaonyesha jinsi wenzetu walivyo piga hatua. Ukumbuke Simba ndio wako kwenye ubora wao kabisa.
Mbona Gor Mahia ya Kenya ilikuwa Lock down zaidi ya miezi 4 na wamesonga mbele,Vipi kuhusu Enyimba mbona wao wameshinda pamoja ya kutocheza mpira kwa miezi 3.

Tafuta sababu nyingine Plateau United uwezo wao ni wa kawaida mno.
 
Kocha mpuuzi sana
Na bado, subiri kipigo mnaporejea VPL kuna timu zinawatamani Sana ziwanyooshe. Na kwa udhaifu huu mlioonyesha mbele ya umati wenu, tegemea vipigo tu.
 
Utopolo wanarukiarukia kila mwanaume hivi sasa wako kwa zimbwabwe.
 
Back
Top Bottom