Nimekosea kidogo ila tumesonga mbele.Ngoja nijaribu mahesabu ya Sheikh
S=24
P=21
Leo Simba anashinda tena kiulainii kwani siku na tarehe na mwezi vinambeba. Nyota ya Simba leo inang'aa kwani inakaribiana na siku ya leo tofauti na plateu.
Masahbiki wa Simba nendeni uwanjani kifua mbele.
NB. Msiniulize nimejuaje.
Huko maisha yote umeme ni wa kingese sana, nilikuwa huko mwaka 2011 hadi 2013 yaani ilikuwa ni kero tupuDaah yaani Tanesco wa sumbawanga ni wapumbavu wakubwa kabsa, sijawai ona upumbavu wa tanesco kama unaofanywa mkoa wa rukwa
😁😂😂Kila la kheri plateau utd....
Odds yenu ya 4 siiachii[emoji16]
Nani ameenda hatua ya pili?Awa jamaa awajacheza mashindano yoyote tangu mwezi wa 3 inamaana metch fitness wamepata wakati wanacheza na Simba ii inaonyesha jinsi wenzetu walivyo piga hatua. Ukumbuke Simba ndio wako kwenye ubora wao kabisa.
YangaNani ameenda hatua ya pili?
Mbona Gor Mahia ya Kenya ilikuwa Lock down zaidi ya miezi 4 na wamesonga mbele,Vipi kuhusu Enyimba mbona wao wameshinda pamoja ya kutocheza mpira kwa miezi 3.Awa jamaa awajacheza mashindano yoyote tangu mwezi wa 3 inamaana metch fitness wamepata wakati wanacheza na Simba ii inaonyesha jinsi wenzetu walivyo piga hatua. Ukumbuke Simba ndio wako kwenye ubora wao kabisa.
Watabadilisha uraia sana mwaka huuUtopolo wanarukaruka saiv wamehamia kwa wazimbwabwe, hawajui ka wanampiga chura teke
Duuh umeuaunabadili mabwana tu. mpaka tufike robo itakuwa tambara kwa kuchakazwa
Nani kakudanganya Plateau walicheza nusu fainali msimu uliopita??Je.. Wajua hawa plateau walicheza nusu fainal katka michuano hii ya msimu uliomaliZika...?
Usichukulie poa plateau n timu bora.
[emoji124][emoji124][emoji124]
nimejidanganya🚮Nani kakudanganya Plateau walicheza nusu fainali msimu uliopita??
Na bado, subiri kipigo mnaporejea VPL kuna timu zinawatamani Sana ziwanyooshe. Na kwa udhaifu huu mlioonyesha mbele ya umati wenu, tegemea vipigo tu.Kocha mpuuzi sana
wafanye maamuzi magumu.wampige chini kocha
kama nawafaa waniajiri tuAlafu uajiliwe wewe siyo. Waswahili tuna shida Sana.
Pira Biriani halafu hamjafunga goli, huko raundi ya pili mnaenda kupoteza muda tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiii Simba itatia aibu nchi huko inakoenda
Ndio na wewe uache ujingaSubiri tufuatilie game, mambo ya ligi za kijinga yaweke pembeni