permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Yale maduka yaliouza mechi ya kufungwa nne hayapo tena kwa sasa, kwa sasa mkijitahidi ni draw, sasa ni mwendo wa kutoa vipigo mfululizo.Halafu Simba hizo 4g awe anawapiga utopolo akiwa anawqfunga hawq wageni baadae watqkuwa wanaogopq kuja kwenye super cup