Uwanja wa Benjamin Mkapa | Simba Super Cup, Simba SC Vs Al Hilal Club

Halafu Simba hizo 4g awe anawapiga utopolo akiwa anawqfunga hawq wageni baadae watqkuwa wanaogopq kuja kwenye super cup
Yale maduka yaliouza mechi ya kufungwa nne hayapo tena kwa sasa, kwa sasa mkijitahidi ni draw, sasa ni mwendo wa kutoa vipigo mfululizo.
 
Vipi mwakalebela fc
poa mkuu ujue hii mechi ilikua yenu maana mwaliko mmewapa wenyewe, gharama za kuja kula,kulala na kunywa ni nyie bonanza la kwenu refa na wasaidizi ni wenu

ila mmeshangilia kushinda 4 nimecheka sana
 
So what kujisifia mechi ya kirafiki wakati ya kikubwa Unguja juzi kati ulikalia.
Tulia Uto, unatoa mshipa wa shingo kubishana kwenye mashindano ambayo hushiriki? Hizi ni mechi za Kimataifa ambazo wew kama Uto haupo, sas unabishania timu gani? Simba wanajipima nguvu kwaajili ya mechi za kimataifa, mashabiki wanafurahia kuona timu yao inafanya vizuri, wewe Utopolo unabishana humu, hulali.. unabishania Nini
 
mkuu ujue nacheka sana umeandaa mashindano wewe, wa kuwaalika umechagua wewe, umewalipia nauli malazi na chakula bado wamechoka na wamecheza kirafiki ila bado mmefurahi sana kuwashinda
Haya mashindano ni ujinga wa Simba hakuna timu yoyote iliyoalikwa itacheza serious
 
Unaumia ukiwa pande zipi? Unaona ni haki yako peke yako kupigwa 4-1 ? Wakipigwa wengine unajisikia wivu. Why? Unateseka sana na bado. Leo mmelamba busha la BM.
Wewe hujitambui, hiyo mechi ni ya kujisifia? Unguja ulikalia mkanyamaza, leo keleleeeeeeee......mbwiga nyie.
 
Aisee nyie mlioanza kushabikia mpira miaka ya 2000 mna kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…