ndioHalafu nyie utoporo mtabaki kushangilia bwana zenu tutakao kuwa tunawaletea
Yule Babra anaongea kiswahili kizuri tena cha pwani kumzidi Mwamedi, yule dada ni tapelitapeli tu.ko nyau kachukua ubingwa kwa pointi 4 hahahahaha barbra kaleta vituko nchi hii
Ni clear results mkienda Kinshasa muandae kapu la magoli.Daa FT Simba 0 - 0 TPM
Lini ligi ikawa na fainali! Huu ni u-utopolo wa kiwango cha kombe la mapinduzi!nilitaka muache kuwa mbumbumbu tangu lini timu yenye point 0 ikacheza fainal na timu yenye point 3 ikawa imetupwa nje ya mashindano
hahahaha nahisi hii ndo ligi yenye michezo michache zaidi michezo mi 2Lini ligi ikawa na fainali! Huu ni u-utopolo wa kiwango cha kombe la mapinduzi!
Ana bushaAhsante kwa update mkuu
Kwanini Boko hajacheza?
Hiyo inamaanisha wachezaji wa Simba wana quality ya juu tofauti na Yanga .Karibia wachezaji wote wanaotoka Yanga na kwenda Simba, huishia tu kusugua benchi! Kuanzia Ajibu, Gadiel Michael, Morrison, Benno Kakolanya, nk!
Ila wakitoka Simba na kuja Yanga, huwa moto balaa! Kuanzia Kelvin Yondani, Amis Tambwe, Dida, Ajibu, na wengineo wengi. Hii inamaanisha Yanga ina uwezo mzuri wa kuwajenga na kuwatumia vizuri wachezaji kuliko Simba.
Kweliiiiiii... Hiyo ndo tofauti ya wao na sisi...!NguvuMojaHiyo inamaanisha wachezaji wa Simba wana quality ya juu tofauti na Yanga .
Mchezaji hata akiwa kawaida akienda Yanga lzima atashine tu.
Kuna wachezaji kama kahata, Ajibu , Ndemla , Miraji Athumani hawa wakienda Yanga ni Moja kwa Moja first eleven.
Mukoko tonombe hadi yule TK master hawawezi kuingia first eleven ya simba Moja kwa Moja.
Au nadanganya ndugu zangu.?
Hiyo ni ligi! Kila timu imecheza mechi mbili. Mchezo wa Leo haukuwa fainali bali ulikuwa ni mchezo wa mwisho!nilitaka muache kuwa mbumbumbu tangu lini timu yenye point 0 ikacheza fainal na timu yenye point 3 ikawa imetupwa nje ya mashindano
Ni ukweli wanaoujua lakini hawataki kuusemaHiyo inamaanisha wachezaji wa Simba wana quality ya juu tofauti na Yanga .
Mchezaji hata akiwa kawaida akienda Yanga lzima atashine tu.
Kuna wachezaji kama kahata, Ajibu , Ndemla , Miraji Athumani hawa wakienda Yanga ni Moja kwa Moja first eleven.
Mukoko tonombe hadi yule TK master hawawezi kuingia first eleven ya simba Moja kwa Moja.
Au nadanganya ndugu zangu.?
hakuna ligi ya hivyo mkuu, usijifaliji kwa ujinga wa namna iyo ligi mdhamini wake ni nani (mwamedi) mc wa shughuri (manara)Hiyo ni ligi! Kila timu imecheza mechi mbili. Mchezo wa Leo haukuwa fainali bali ulikuwa ni mchezo wa mwisho!
hakuna ligi ya hivyo mkuu, usijifaliji kwa ujinga wa namna iyo ligi mdhamini wake ni nani (mwamedi) mc wa shughuri (manara)
ligi upumbavu
Tuwape credit kwa kuandaa Aina hii ya mashindano ahead of CAF champions Leaguehakuna ligi ya hivyo mkuu, usijifaliji kwa ujinga wa namna iyo ligi mdhamini wake ni nani (mwamedi) mc wa shughuri (manara)
ligi upumbavu
Hiyo ni ligi! Kila timu imecheza mechi mbili. Mchezo wa Leo haukuwa fainali bali ulikuwa ni mchezo wa mwisho!nilitaka muache kuwa mbumbumbu tangu lini timu yenye point 0 ikacheza fainal na timu yenye point 3 ikawa imetupwa nje ya mashindano
malengo yalikuwa nj yepi tuanzie hapoNdugu jaribu kujua malengo yaliku yepi kwanz..
Usiumie kwa vitu vidogo hivyo
mimba yako ya Simba utajifungua lini,sio kwa mimate hiyohakuna ligi ya hivyo mkuu, usijifaliji kwa ujinga wa namna iyo ligi mdhamini wake ni nani (mwamedi) mc wa shughuri (manara)
ligi upumbavu