Uwanja wa Benjamin Mkapa | Simba Super Cup: Simba SC Vs TP Mazembe

ko nyau kachukua ubingwa kwa pointi 4 hahahahaha barbra kaleta vituko nchi hii
Yule Babra anaongea kiswahili kizuri tena cha pwani kumzidi Mwamedi, yule dada ni tapelitapeli tu.

Hata zawadi zilitangazwa baada ya Simba kuwafunga Wasudan, ni utapeli mtupu.
 
Lini ligi ikawa na fainali! Huu ni u-utopolo wa kiwango cha kombe la mapinduzi!
hahahaha nahisi hii ndo ligi yenye michezo michache zaidi michezo mi 2

hujui leo ilikuwa fainali kama tp angeshinda chini ya goli 3 nyau angechukua kikombe kwa pointi.

mfungaji bora ana goli 2 hahaha iyo ligi ama upumbavu
 
Karibia wachezaji wote wanaotoka Yanga na kwenda Simba, huishia tu kusugua benchi! Kuanzia Ajibu, Gadiel Michael, Morrison, Benno Kakolanya, nk!

Ila wakitoka Simba na kuja Yanga, huwa moto balaa! Kuanzia Kelvin Yondani, Amis Tambwe, Dida, Ajibu, na wengineo wengi. Hii inamaanisha Yanga ina uwezo mzuri wa kuwajenga na kuwatumia vizuri wachezaji kuliko Simba.
Hiyo inamaanisha wachezaji wa Simba wana quality ya juu tofauti na Yanga .
Mchezaji hata akiwa kawaida akienda Yanga lzima atashine tu.
Kuna wachezaji kama kahata, Ajibu , Ndemla , Miraji Athumani hawa wakienda Yanga ni Moja kwa Moja first eleven.

Mukoko tonombe hadi yule TK master hawawezi kuingia first eleven ya simba Moja kwa Moja.
Au nadanganya ndugu zangu.?
 
Kweliiiiiii... Hiyo ndo tofauti ya wao na sisi...!NguvuMoja
 
nilitaka muache kuwa mbumbumbu tangu lini timu yenye point 0 ikacheza fainal na timu yenye point 3 ikawa imetupwa nje ya mashindano
Hiyo ni ligi! Kila timu imecheza mechi mbili. Mchezo wa Leo haukuwa fainali bali ulikuwa ni mchezo wa mwisho!
 
Hiyo inamaanisha wachezaji wa Simba wana quality ya juu tofauti na Yanga .
Mchezaji hata akiwa kawaida akienda Yanga lzima atashine tu.
Kuna wachezaji kama kahata, Ajibu , Ndemla , Miraji Athumani hawa wakienda Yanga ni Moja kwa Moja first eleven.

Mukoko tonombe hadi yule TK master hawawezi kuingia first eleven ya simba Moja kwa Moja.
Au nadanganya ndugu zangu.?
Ni ukweli wanaoujua lakini hawataki kuusema
 
Hiyo ni ligi! Kila timu imecheza mechi mbili. Mchezo wa Leo haukuwa fainali bali ulikuwa ni mchezo wa mwisho!
hakuna ligi ya hivyo mkuu, usijifaliji kwa ujinga wa namna iyo ligi mdhamini wake ni nani (mwamedi) mc wa shughuri (manara)

ligi upumbavu
 
nilitaka muache kuwa mbumbumbu tangu lini timu yenye point 0 ikacheza fainal na timu yenye point 3 ikawa imetupwa nje ya mashindano
Hiyo ni ligi! Kila timu imecheza mechi mbili. Mchezo wa Leo haukuwa fainali bali ulikuwa ni mchezo wa mwisho!
 
Ndugu jaribu kujua malengo yaliku yepi kwanz..
Usiumie kwa vitu vidogo hivyo
Muache aumie tena ikiwezekana azimie kabisa, hawezi kutupangia kufanya jambo letu

Malengo yalishaelezwa na CEO kabla hata michuano kuanza
 
Back
Top Bottom