mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mwananchii...lazima niwe yanga
Sasa game tunaangalizia wapi?
Anahitaji mrithi huyo..kupush mishe zake tanga paleeYanga Omari.
Duh...hujambo mikiayanga tumezidiwa sana, naomba hata mpira uishe muda huu mana tunavyoendelea kucheza huenda namungo wakaongeza magoli
Upo wapi mkuu..Nyarugusu au?Kuna wilaya zingine zimelaanika kwa kukata umeme. Tanzania hii
Hata wilaya nilipo washauchukua.Kuna wilaya zingine zimelaanika kwa kukata umeme. Tanzania hii
Hata wilaya nilipo washauchukua.Kuna wilaya zingine zimelaanika kwa kukata umeme. Tanzania hii