Uwanja wa Benjamin Mkapa | Vodacom Premier League VPL' Yanga SC Vs Namungo FC

Kuanzia saa tatu usiku huu Yanga itakuwa inaongoza ligi,na haishuki hapo mpaka ubingwa
 
05' Mpira umeanza kwa taratibu huku kila timu ikijaribu kutengeneza nafasi ya kufunga

Yanga SC 0-0 Namungo FC
 
13' Go Goooooooooooooal, Yanga wanatangulia bao la kwanza kupitia kwa Carlinhos kwa kichwa akipokea krosi ya Kibwana

Yanga SC 1-0 Namungo FC
 
16' Gooooooooooooal goooooal

Namungo FC wanasawazisha kupitia kwa Stephen Sey, bao safi la mguu wa kushoto likimuacha golikipa Metacha akichumpa bila mafanikio

Yanga SC 1-1 Namungo FC
 
23' Yanga wanapoteza nafasi ya kufunga huku mashambulizi yakiwa makali kwa pande zote

Yanga SC 1-1 Yanga SC
 
30' Mabao yakiwa ni moja kwa moja uwanja wa Benjamin Mkapa, huku Namungo FC wakizidi kuwapa pressure Yanga SC
 
Free Kick kuelekea Yanga.. Inapigwaaaa njeeeeee Namungo FC wanakosa
 
Huku kwa Mama Samwel Sita Urambo, Tabora. Jana sijaangalia mpira wa Simba na leo tena. Kesho natimua huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…