Uwanja wa Benjamin Mkapa wafungwa kwa muda kupisha marekebisho ya Pitch

Nchi rushwa mbele, utekelezaji 0, wanawaza kuiba tu
 
Hivi hii serikali yasasa inaweza kusimamia nini, mbona kama haijiwezi...?
 
Wamewawahi CAF 😂 Ila wabongo kwenye suala la management ni zero Aisee
 
Sijui hua wanatengeneza nini mana hayo mabadiliko hayaonekani, ukimwambia mtu huo uwanja umefanyiwa marekebisho atauliza yako wapi hayo marekebisho 😂
 
Bilioni 30 zishakwenda na maji, zinachotwa nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…