Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Biafra ilikuwa uwanja wa Mpira (openSpace) What is going on now mabati yamezungushwa. Sina hakika kama kuna kitu inajengwa ila inaonekana kuna kitu kinajengwa. Hii sio Sawa
Dar es Salaam open space zote zimeshachukuliwa ni moja ya miji ya ajabu sana
Kama sio maeneo ya majeshi kama Ukonga, Makuburi n.k hali ingekuwa mbaya sana
Viongozi wa Serikali wawe na huruma hata kidogo