Mzee Kimamingo
JF-Expert Member
- Mar 31, 2024
- 1,861
- 4,462
Mashoga walijazana sana apo kinondoni waweke hata sheli tuBiafra ilikuwa uwanja wa Mpira (openSpace) What is going on now mabati yamezungushwa. Sina hakika kama kuna kitu inajengwa ila inaonekana kuna kitu kinajengwa. Hii sio Sawa
Dar es Salaam open space zote zimeshachukuliwa ni moja ya miji ya ajabu sana
Kama sio maeneo ya majeshi kama Ukonga, Makuburi n.k hali ingekuwa mbaya sana
Viongozi wa Serikali wawe na huruma hata kidogo