Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Zama za mama kila kitu kinawezekana sio muda kwa mkapa mtaona pamezungushiwa mabati waarabu wanajenga vituo vya mafutaBiafra ilikuwa uwanja wa Mpira (openSpace) What is going on now mabati yamezungushwa. Sina hakika kama kuna kitu inajengwa ila inaonekana kuna kitu kinajengwa. Hii sio Sawa
Dar es Salaam open space zote zimeshachukuliwa ni moja ya miji ya ajabu sana
Kama sio maeneo ya majeshi kama Ukonga, Makuburi n.k hali ingekuwa mbaya sana
Viongozi wa Serikali wawe na huruma hata kidogo
Ila katika marais wa hovyo ni huyu mamaZama za mama kila kitu kinawezekana sio muda kwa mkapa mtaona pamezungushiwa mabati waarabu wanajenga vituo vya mafuta
Mazungumzo yanaendelea kati ya Viongozi wa Uwanja huo na WawekezajiZama za mama kila kitu kinawezekana sio muda kwa mkapa mtaona pamezungushiwa mabati waarabu wanajenga vituo vya mafuta
Ni mambo ya ajabu sanaWatu wanashida mbalimbali kichwani vichwa vinawaka moto madeni,Kodi,migogoro ya familia, umasikini wakakae wapi ukienda bar ni lazima ulipie ukikaa kwenye mabaraza mbele ya biashara za watu unafukuzwa nyumbani moto hakukaliki sehemu sahihi ilikuwa ni bustani za umma.
Ambazo zote wameuza kwa tamaa, watoto pa kuchezea hakuna
Biafra ilikuwa uwanja wa Mpira (openSpace) What is going on now mabati yamezungushwa. Sina hakika kama kuna kitu inajengwa ila inaonekana kuna kitu kinajengwa. Hii sio Sawa
Dar es Salaam open space zote zimeshachukuliwa ni moja ya miji ya ajabu sana
Kama sio maeneo ya majeshi kama Ukonga, Makuburi n.k hali ingekuwa mbaya sana
Viongozi wa Serikali wawe na huruma hata kidogo
Kuna mda nawaelewa watu waliokuwa wanataka wazungu waendelee kutawalaWakoloni kuacha bustani za umma ili kuondoa stress kwa wananchi hawakuwa wajinga baada ya uhuru viongozi walafi wameuza vyote.
Mitano tenaBiafra ilikuwa uwanja wa Mpira (openSpace) What is going on now mabati yamezungushwa. Sina hakika kama kuna kitu inajengwa ila inaonekana kuna kitu kinajengwa. Hii sio Sawa
Dar es Salaam open space zote zimeshachukuliwa ni moja ya miji ya ajabu sana
Kama sio maeneo ya majeshi kama Ukonga, Makuburi n.k hali ingekuwa mbaya sana
Viongozi wa Serikali wawe na huruma hata kidogo
Ukifanya tafiti unagundua waafrika walikuwa na nafuu ya maisha kabla ya ukoloni.Kuna mda nawaelewa watu waliokuwa wanataka wazungu waendelee kuelewa
Watawala wa sasa hakuna ambaye anafikiria beyond 2025 maisha yetu hayana tofauti sana na wanyamaUkifanya tafiti unagundua waafrika walikuwa na nafuu ya maisha kabla ya ukoloni.
Ni wapigania uhuru walipigania maslai yao binafsi tu na sio maslai ya waafrika wote
Huo uwanja ni mali ya CCM tangu mwaka 1915 na hati wanayo.Biafra ilikuwa uwanja wa Mpira (openSpace) What is going on now mabati yamezungushwa. Sina hakika kama kuna kitu inajengwa ila inaonekana kuna kitu kinajengwa. Hii sio Sawa
Dar es Salaam open space zote zimeshachukuliwa ni moja ya miji ya ajabu sana
Kama sio maeneo ya majeshi kama Ukonga, Makuburi n.k hali ingekuwa mbaya sana
Viongozi wa Serikali wawe na huruma hata kidogo
1915 hata TAA akikuwepoHuo uwanja ni mali ya CCM tangu mwaka 1915 na hati wanayo.