Uwanja wa Biafra Kinondoni umezungushiwa mabati, hii si sawa hata kidogo

Mashoga walijazana sana apo kinondoni waweke hata sheli tu
 
Hivi hawajui hivyo viwanja ndivyo tunavyopumzika wakitukatia umeme majumbani hakukaliki kisa joto? 🤣🤣 Navyo wanataka waviuze tukakae wapi sisi?
 
Uwanja wa mpira wa miguu bado uko na Watu wanafanya mazoezi..mabati yamezunhushwa nusu Uwanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…