Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika, Namungo FC leo Jumamosi ya November 28, 2020 wanawakaribisha Al Rabita FC kutoka Sudan katika mechi ya mkondo wa kwanza wa raundi ya awali ya kombe la Shirikisho barani Afrika.
==========
Update;
Namungo FC wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao matatu bila majibu dhidi ya Al Rabita FC, katika mchezo wa kwanza wa raundi ya awali ya kombe la Shirikisho Afrika, mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Chamazi.
FT; Namungo FC 3-0 Al Rabita FC