Uwanja wa Chamazi | Kombe la Shirikisho Afrika' Namungo FC Vs Rabita FC

Uwanja wa Chamazi | Kombe la Shirikisho Afrika' Namungo FC Vs Rabita FC

Timu ya kawaida saana. Nawaona Namungo wakivuka hii round, ila sasa wasiwadharau wakabweteka mechi ya marudiano. Goli tatu sio nyingi kiviile
Yes, wanavuka..Jamaa hawana makali kwenye safu ya ushambuliaji hivyo goli tatu ni mlima mrefu kwao..!
 
Timu za Zenji wanasindikiza watu. Kwanza ligi yao nowadays haina mdhamini naona hawana uwezo hata wa kujiendesha vizuri.
 
Update; Klabu Bingwa Afrika

Mlandege ya Zanzibar imepigwa mabao matano kwa bila na SC Sfaxien ya Tunisia

FT; Mlandege 0-5 SC Sfaxien
 
Hii timu itakuwa imeokotwa Stand🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom