90+2'
Kuelekea kumalizika kwa mchezo huu wa kombe la Shirikisho Afrika'
Manyama anapiga ndefu, mpira unarudishwa na mabeki wa Rabita FC
Naaam mpira umekwishaaaa ambapo Namungo FC wakichomoza na ushindi wa bao tatu bila majibu
FT, Namungo FC 3-0 Al Rabita FC