Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Timu ya kawaida saana. Nawaona Namungo wakivuka hii round, ila sasa wasiwadharau wakabweteka mechi ya marudiano. Goli tatu sio nyingi kiviileHii timu haitishi, kawaida sana
Yes, wanavuka..Jamaa hawana makali kwenye safu ya ushambuliaji hivyo goli tatu ni mlima mrefu kwao..!Timu ya kawaida saana. Nawaona Namungo wakivuka hii round, ila sasa wasiwadharau wakabweteka mechi ya marudiano. Goli tatu sio nyingi kiviile
Kweli kabisa, ngoja tusubiri tuoneYes, wanavuka..Jamaa hawana makali kwenye safu ya ushambuliaji hivyo goli tatu ni mlima mrefu kwao..!