Uwanja wa Jamhuri, Morogoro | Vodacom Premier League VPL : Mtibwa Sugar 0 - 3 Simba SC

Joseph anaokoa, mpira unarudishwa tena kwake Humud, unamfikia Tairone anapigaaa Kubwaaaaa
 
80' Free kick kuelekea Simba, unapigwa wanaunasa Simba wanakwenda mbele eeee Offside

Ametoka Chama, na ameingia Shiboub....upande wa Simba SC
 
Luis anakwenda kwake dilungaaa anapigaa, anababatiza na kuwa kona

Inapigwaaaaaa Kona inaokolewa kwao Mtibwa sasa Mbondeee Fauloo
 
90+4' Simba wanaliandama lango la Mtibwa Sugar

Kahata, kwake Luis, kwake kiungo Shiboub anapiga unamfikia Kagere anapiga ndefuuu kwake Luis anajitwisha kichwaaaa gooo laaaaaaaaaa anakosa

Mtibwa wamekata upepo mashabulizi mfululizo langoni kwao

Naaaaaaam mpira umekwishaa ambapo Simba wameibuka na ushindi wa mabao matatu bila majibu dhidi Mtibwa Sugar, yakiwekwa kimiani na Bocco, Tshabalala, Dilunga

VPL, FT; Mtibwa Sugar 0-3 Simba SC

•••••Wako MwanaSimba Ghazwat••••
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…