Uwanja wa Jamhuri, Morogoro | Vodacom Premier League VPL : Mtibwa Sugar 0 - 3 Simba SC

Uwanja wa Jamhuri, Morogoro | Vodacom Premier League VPL : Mtibwa Sugar 0 - 3 Simba SC

Timu inacheza,Ina shambulia kama mbwa mwitu hii ndio Simba ninayoijua Mimi.
 
Kama nawaona Vyura saaa 1 mbele ya AMRI SAID JAAP STAM BABA LA BABA MTOTOWA MSIMBAZI KINDAKINDAKI leo mtaomba poo kwa WanaKomakumwanya.
 
54' Luzio anatoka, anaingia Frank upande wa Mtibwa Sugar
 
Free Kick kuelekea Simba SC, inapigwaaaaaa anaunganisha mchezaji wa mtibwa lakini unapaaa lango la Simba
 
Kama nawaona Vyura saaa 1 mbele ya AMRI SAID JAAP STAM BABA LA BABA MTOTOWA MSIMBAZI KINDAKINDAKI leo mtaomba poo kwa WanaKomakumwanya.
Wakipona leo basi draw, ila wanakufa
 
Back
Top Bottom