Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ndio mnyama wa mwituni ninayemjua mieTimu inacheza,Ina shambulia kama mbwa mwitu hii ndio Simba ninayoijua Mimi.
Ni kweli ila kipindii cha kwanza tulistahili zaidi ya goli moojjaTimu inacheza,Ina shambulia kama mbwa mwitu hii ndio Simba ninayoijua Mimi.
Mikia mmebadili mbinu kwa marefa?
Mikia mmebadili mbinu kwa marefa?
Sasa mnazuia magoli. Hakuna penati dhidi yenu. Billion za Mo zinafanya kazi.
Mohammed Hussein goli la 2Mfungaji nani jamani natumia Bet365 hawaonyeshi mfungaji nani
Wakipona leo basi draw, ila wanakufaKama nawaona Vyura saaa 1 mbele ya AMRI SAID JAAP STAM BABA LA BABA MTOTOWA MSIMBAZI KINDAKINDAKI leo mtaomba poo kwa WanaKomakumwanya.
Umeandika kishabiki hivyo unapuuzwa na mashabiki wenzio hadi wenye mamlaka na sokaMtibwa hawawezi pata goli maana wachezaji wa ndani wa mikia nao wanaruhusiwa kudaka
Sent using Jamii Forums mobile app