Uwanja wa Jamhuri, Morogoro | Vodacom Premier League VPL : Mtibwa Sugar 0 - 3 Simba SC

Uwanja wa Jamhuri, Morogoro | Vodacom Premier League VPL : Mtibwa Sugar 0 - 3 Simba SC

25' wanakwenda Simba, anapoteza sasa huyu Tairone, nafasi kwa Mtibwa anapigaaa lakini golikipa Manula anacheza vizuri sana...dooh
 
Wazee wa kubebwa. Pernalt ya wazi wamenyimwa Mtibwa,refa alikuwa karibu,aliona,akang'ata filimbi
 
29' Kagere shuti lake linadakwa na golikipa Kado, doooh ilikuwa nafasi taaamu kwa Simba.
 
Humud anamchezea vibaya Kagere ni faulo..Inapigwaaaaaa faulo inaokolewa na mabeki wa Mtibwa

Mtibwa Sugar 0-0 Simba SC
 
37' Pasi kutoka kwa Chama inamkuta Kagereeeeee, lakini shuti lake linatoka mita chache ya lango la Mtibwa

Ilikuwa nafasi kwa Simba kuandika bao
 
Tunahitaji Plan B ya kocha kipindi cha pili Tactical change inahitajika sana.
 
43' Game ni kali sana ikiwa kila timu ina nafasi ya kushinda, wanakwenda Simba kwake Kagereeeeee laaaaaa
 
45+3' Muda mchache mpira utakuwa mapumziko, mpira wanamiliki Simba sasa kwake Chama....

Naaaaaaam mpira ni mapumziko ambapo Simba wanatangulia kwa bao moja dhidi ya Mtibwa Sugar

VPL, HT; Mtibwa Sugar 0-1 Simba SC
 
Back
Top Bottom