denoo JG
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 2,701
- 9,759
Kama hili likitokea na kuwa kweli...TFF inaendeshwa kwa rimoti sasa na wanaoiendesha wanajulikana.Tokea Marehemu Hans Pope afariki Simba imekuwa mtoto wa kambo pale TFF.
Baada ya mechi na JKT uwanja utafungiwa.
Ali Hassan ulifungiwa timu pendwa ikachezea Dodoma na ukafunguliwa baada ya siku 2.
Simba bila kuchukua uamuzi mgumu hizi njama zitaendelea.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app