Uwanja wa Kaitaba: Simba SC yamuadhibu mbabe wake Tanzania kwa kumchapa tatu bila

Uwanja wa Kaitaba: Simba SC yamuadhibu mbabe wake Tanzania kwa kumchapa tatu bila

Mazoea ya kisenge mwisho mwaka jana. Bado Yanga kipigo cha mbwa koko
Mazoea ya kisenge mwisho mwaka jana. Bado Yanga kipigo cha mbwa koko
Habari ndo hiyo. Baada ya kutolewa ACL tumeapa hatuachi kikombe chochote, tunakomba vyoteee... tena kwa kuwapiga wajinga wajinga kama Chura na wenzake mikwaju ya kutosha.
 
Santos + Wawa hawa jamaa Leo hawacheki na kimburu ni clear tu.
 
Simba akishinda leo nitatembea uchi Kariakoo, Kagera Sugar 3 Mbumbumbu 0
Dakika 45 zimekwisha Simba 2 Kagera 0. Naziona dalili za kuuona utupu wako. Anza tuu kuvua na uije shangaa Kariakoo ukashikishwa ukuta Leo!
 
Back
Top Bottom