OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mazoea ya kisenge mwisho mwaka jana. Bado Yanga kipigo cha mbwa koko
Habari ndo hiyo. Baada ya kutolewa ACL tumeapa hatuachi kikombe chochote, tunakomba vyoteee... tena kwa kuwapiga wajinga wajinga kama Chura na wenzake mikwaju ya kutosha.Mazoea ya kisenge mwisho mwaka jana. Bado Yanga kipigo cha mbwa koko
Tayari Upo Uchi 😶🤣😄😅Simba akishinda leo nitatembea uchi Kariakoo, Kagera Sugar 3 Mbumbumbu 0
We Yanga tuUcha ufara kutukana wewe kama umekuja leo mjini.
Ni wakupuzwa hao mkuuAZAM APP LEO IMENIANGUSHA
[emoji23][emoji23][emoji23]yule anayetaka kutembea uchi ajiandae tumuelekeze njia ya kupitia
Mtasubiri sana hadi nabii issa arudiTunasubiria boko la Manura....
Acha kujiabisha !Simba akishinda leo nitatembea uchi Kariakoo, Kagera Sugar 3 Mbumbumbu 0
Dakika 45 zimekwisha Simba 2 Kagera 0. Naziona dalili za kuuona utupu wako. Anza tuu kuvua na uije shangaa Kariakoo ukashikishwa ukuta Leo!Simba akishinda leo nitatembea uchi Kariakoo, Kagera Sugar 3 Mbumbumbu 0
Una nyumba wewe unaishi kwa mama akoHii gemu isipoisha 3-3 njooni mchome moto nyumba yangu
Aliwe mara ngapi? mzoefu huyo ...Ukitembea uchi utaishiwa kuliwa kiboga