Uwanja wa Kaitaba: Simba SC yamuadhibu mbabe wake Tanzania kwa kumchapa tatu bila

Yule mkuu wa mkoa shabiki wa Vyura mwambieni Simba tunarudi Dar na points zetu 3!

Aende akawatishie Al Shaabab sio Simba!!!

Tumeshangilia Sana na afanye atakalo!!!
 
Mkuu unaongeleaje impact ya Miraji... Huyu jamaa ametulia sana aisee
Miraji Athumani yuko lethal balaaa.

Nipokuwa nikiangalia kipute na jamaa sebuleni, nilikuwa nawaambia "Huyu kocha kwanini asimtoe Deo Kanda kisha amwingize Miraji?". Kauli hii niliirudia rudia na Alhamdulilah kocha Aussems ni kama alinisikia. Ile sub ilikuwa ya 🔥 kinoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…