Simba akishinda leo nitatembea uchi Kariakoo, Kagera Sugar 3 Mbumbumbu 0
Hukuwa mbali sana na ukweliSimba akishinda leo nitatembea uchi Kariakoo, Kagera Sugar 3 Mbumbumbu 0
Hii gemu isipoisha 3-3 njooni mchome moto nyumba yangu
Hii gemu isipoisha 3-3 njooni mchome moto nyumba yangu
πππππUna nyumba wewe unaishi kwa mama ako
Valencia mara nyingine anafungaga, muulize Chelsea. By the way, ushanunua petrol? πππLabda 3-3 ya valencia na getafe
Kwa hiyo miaka yooote hii ulikuwa unagongwa na mjinga mjinga? Loh!Kagereeee!!! Simba 3 - 0 Wajinga wajinga. Wanapigwa la tatu, na Juma Nyosso wao akiwemo.
Unaparamia football. Refer ktk records. Simba imeshinda mara nyingi zaid ya iliyoshinda kagera sugar. ILA KWA GAME TATU ZA MWIDHO KABLA YA HII NDIO IMEKUWA IKISHINDA KWA TOFAUTI YA GOLI MOJA KWA KILA MECHI. Sasa wale MBAO ni tofauti kbsa. HEBU WEKA RECORDS za mbao vs vyura UONE AIBUKwa hiyo miaka yooote hii ulikuwa unagongwa na mjinga mjinga? Loh!
Unaparamia football. Refer ktk records. Simba imeshinda mara nyingi zaid ya iliyoshinda kagera sugar. ILA KWA GAME TATU ZA MWIDHO KABLA YA HII NDIO IMEKUWA IKISHINDA KWA TOFAUTI YA GOLI MOJA KWA KILA MECHI. Sasa wale MBAO ni tofauti kbsa. HEBU WEKA RECORDS za mbao vs vyura UONE AIBU
wahaya wenzangu naskia kilichowaponza ni "senene na matoke" wanayumba tu uwanjaniTimu ya Kagera Sugar Wanamkurukumbi leo ikiwa uwanja wa nyumbani wa Kaitaba itaumana na timu inayobebwa na kupendelewa Simba SC. Ikumbukwe mpaka sasa Kagera Sugar ndio kinara kwenye msimamo wa Ligi na pia ikumbukwe kwamba msimu uliopita Simba ilipigwa NJE NDANI na Wanankurukumbi.
Kikosi cha Kagera Sugar kinachoanza
Said Kipao
Mwaita Gereza
Devid Luhende
Hassan Isihaka
Erick Kyaruzi
Zawadi Manya
Awesu Awesu
Ally Ramadhan
Evarigestus Muswahuki
Abdallah Seseme
Yussufu Mhilu
Kikosi cha Simba SC kinachoanza
Aishi Manula
Shomari Kapombe
Mohamed Hussein
Tairone Santos
Paschal Wawa
Gerson Fraga
Deo Kanda
Mzamiru Yassin
Medie Kagere
Sharaf Shiboub
Ibrahim ajibu
Goli dkk 04 - Medie Kagere
Goli dkk 35 - Mohamed Hussein
MAPUMZIKO: KAGERA SUGAR 0-2 SIMBA SC
Goli dkk 78 - Medie Kagere
Full Time - Kagera Sugar 0-3 Simba SC
Miraji Athman n mchezaji mzuri sana licha ya kutoanza kucheza lakini akiingia huwa anacheza vizuri na kusababisha mathara kwa timu pinzani
Imekuwa kinyume sasa.Simba akishinda leo nitatembea uchi Kariakoo, Kagera Sugar 3 Mbumbumbu 0
Tupe mrejesho wa kutembea uchi mkuuSimba akishinda leo nitatembea uchi Kariakoo, Kagera Sugar 3 Mbumbumbu 0
Atakuwa amepita Saigon na wameshamalizana nae.....watu hawataki sura, wanataka tako....upo?Tupe mrejesho wa kutembea uchi mkuu
Makalio yenye upele hayo kayatembeze uchi huko NDOLA.Simba akishinda leo nitatembea uchi Kariakoo, Kagera Sugar 3 Mbumbumbu 0
Hii ahadi ni invalid kama hadi sasa hujatupia kavideo ukitembea uchi
Valencia mara nyingine anafungaga, muulize Chelsea. By the way, ushanunua petrol? πππ
Hii comment ya kichochezi sanaLabda katembea na wahuni wamekamata washapiga dyudyu
Nipo Zambia kikazi, nimekuja kumng'oa meno ZESCO. Nikirudi ntatoa vitu vyangu uichome. Mimi sio mhuni kama Muchacho, nikisema natoa simu, natoa simuPetrol ninayo tangu jana,ndio nilikua nakusubiri hapa unipe location ya hiyo nyumba