Uwanja wa Kaitaba: Simba SC yamuadhibu mbabe wake Tanzania kwa kumchapa tatu bila

Uwanja wa Kaitaba: Simba SC yamuadhibu mbabe wake Tanzania kwa kumchapa tatu bila

Miraji Athman n mchezaji mzuri sana licha ya kutoanza kucheza lakini akiingia huwa anacheza vizuri na kusababisha mathara kwa timu pinzani
 
Kwa hiyo miaka yooote hii ulikuwa unagongwa na mjinga mjinga? Loh!
Unaparamia football. Refer ktk records. Simba imeshinda mara nyingi zaid ya iliyoshinda kagera sugar. ILA KWA GAME TATU ZA MWIDHO KABLA YA HII NDIO IMEKUWA IKISHINDA KWA TOFAUTI YA GOLI MOJA KWA KILA MECHI. Sasa wale MBAO ni tofauti kbsa. HEBU WEKA RECORDS za mbao vs vyura UONE AIBU
 
Ongeza na Lipuli

Timu ya Kagera Sugar Wanamkurukumbi leo ikiwa uwanja wa nyumbani wa Kaitaba itaumana na timu inayobebwa na kupendelewa Simba SC. Ikumbukwe mpaka sasa Kagera Sugar ndio kinara kwenye msimamo wa Ligi na pia ikumbukwe kwamba msimu uliopita Simba ilipigwa NJE NDANI na Wanankurukumbi.

Kikosi cha Kagera Sugar kinachoanza
Said Kipao
Mwaita Gereza
Devid Luhende
Hassan Isihaka
Erick Kyaruzi
Zawadi Manya
Awesu Awesu
Ally Ramadhan
Evarigestus Muswahuki
Abdallah Seseme
Yussufu Mhilu

Kikosi cha Simba SC kinachoanza
Aishi Manula
Shomari Kapombe
Mohamed Hussein
Tairone Santos
Paschal Wawa
Gerson Fraga
Deo Kanda
Mzamiru Yassin
Medie Kagere
Sharaf Shiboub
Ibrahim ajibu

Goli dkk 04 - Medie Kagere
Goli dkk 35 - Mohamed Hussein

MAPUMZIKO: KAGERA SUGAR 0-2 SIMBA SC

Goli dkk 78 - Medie Kagere

Full Time - Kagera Sugar 0-3 Simba SC
wahaya wenzangu naskia kilichowaponza ni "senene na matoke" wanayumba tu uwanjani
 
Petrol ninayo tangu jana,ndio nilikua nakusubiri hapa unipe location ya hiyo nyumba
Nipo Zambia kikazi, nimekuja kumng'oa meno ZESCO. Nikirudi ntatoa vitu vyangu uichome. Mimi sio mhuni kama Muchacho, nikisema natoa simu, natoa simu
 
Back
Top Bottom