Uwanja wa Karume | Vodacom Premier League VPL' Biashara Utd Vs Simba SC

Uwanja wa Karume | Vodacom Premier League VPL' Biashara Utd Vs Simba SC

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara Vodacom Premier League VPL' kuvurumishwa leo February 18, 2021 ambapo Biashara Utd wanapambana na Mabingwa wa Nchi Mnyama, Simba SC kwenye uwanja wa Karume mjini Musoma.

Mchezo huu unatarajiwa kuwa mkali na wa kusisimua kwa muda wote dakika 90 huku kila timu kuhitaji ushindi na kujikusanyia alama tatu muhimu ili kuweza kujisogeza mbele zaidi kwenye msimamo wa VPL

Nani kuibuka na ushindi? Kumbuka mtanange huu wa VPL ni kuanzia saa 10: 00 jioni. Usikose Ukasimuliwa

Kulitaka Mwana Kulipewa Mwana

Screenshot_20210218-161059.jpg
Screenshot_20210218-161047.jpg


==================

Mtanange wa VPL kati ya Simba SC na Biashara Utd umemalizika kwa Simba SC kuibuka na ushindi wa bao moja kwa bila, bao pekee la Simba likifungwa na Bernard Morrison kunako dakika ya 22 za mchezo.

FT, VPL: Biashara Utd 0-1 Simba SC
 
Back
Top Bottom