Uwanja wa Karume | Vodacom Premier League VPL' Biashara Utd Vs Simba SC

30' Mpira ni mkali huku Simba wakimiliki zaidi kuliko wapinzani wao Biashara Utd, Biashara hawajaweza kumjaribu vilivyo golikipa Aishi

Biashara Utd 0-1 Simba SC
 
45+3'

Kuelekea kuwa mapumziko uwanja wa Karume mjini Musoma

Chikwendeeee oooooh, anapiga shutiiiiii juuuu

Ilikuwa hatari sana lango la Biashara Utd, daah namma gani Chikwende

Haya wanakwenda sasa simbaa mbele kule tenaaa

Ni free kick kuelekea Biashara Utd baada ya Morrisoon kufanyiwa faulo

Inapigwaaaa lakini wanakosa

Nafasi kwa Biashara sasa, lakini Wawa anatokea na kusafisha hatari yoteeee

Naaaam mpira ni mapumziko

HT: VPL Biashara Utd 0-1 Simba SC
 
Anaondosha Abdul Majid hatari kwenye lango lake, Biashara Utd walikuwa wakitafutwa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…