Mkuu ni kweli Wambura,Michael ametamka hivyo.
Na kama ni kweli hii ni njama,kwa nini.
Watu wa hapa town wamefanya dili ili wapige hela nyingi.Watu hasa viongozi hawana uchungu na rasilimali za nchi yao,uwanja wa karume upo ktkt ya mji na value yake ipo juu sana,na isitoshe ni mali ya serikali so hakuna mtu mwenye uchungu na hasara nao.
TFF wana uhakika gani kuwa viingilio hivyo vya hiyo timu italipa gharama zote za kuisafirisha timu?.