Uwanja wa karume wawekwa bond.

Uwanja wa karume wawekwa bond.

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Source:Wambura

Kayasema hayo wakati akichangia mada kwenye malumbano ya hoja ITV
 
ni kweli wamekopa pesa benk na kama wakishindwa kurudisha pesa ya kuileta brazil, uwanja unapigwa bei
 
ni kweli wamekopa pesa benk na kama wakishindwa kurudisha pesa ya kuileta brazil, uwanja unapigwa bei
Mkuu ni kweli Wambura,Michael ametamka hivyo.
Na kama ni kweli hii ni njama,kwa nini.
Watu wa hapa town wamefanya dili ili wapige hela nyingi.Watu hasa viongozi hawana uchungu na rasilimali za nchi yao,uwanja wa karume upo ktkt ya mji na value yake ipo juu sana,na isitoshe ni mali ya serikali so hakuna mtu mwenye uchungu na hasara nao.
TFF wana uhakika gani kuwa viingilio hivyo vya hiyo timu italipa gharama zote za kuisafirisha timu?.
 
Back
Top Bottom