Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo picha ya miaka ya zamani sana. Umeziona za sasa mpya au unataka tukuwekee uone?
Daaah, Muoga sanaNaona unatamani sana. Kwa kuwa unatamani sana sikuwekei. Nitaweka siku nitakayo mimi.
How comes nikienda kwa your site niguze f_5 jet inaniletea j_5[emoji23][emoji23][emoji23]Moja ya taarifa uliyoitoa kwenye wikipedia ni hii hapa:-
Tanzania Air Force Command - Wikipedia
Taarifa zote zilizowekwa wameonesha references ambazo ukizifuata hazipo.
Reference No 1 haipo. Sasa hicho tu kinaonesha namna ya hizo data kwamba ni za kupika.
Ungekua ulizieeka immediately ulianza hii thread..zilete tuzioneHiyo picha ya miaka ya zamani sana. Umeziona za sasa mpya au unataka tukuwekee uone?
The link you gave us ..idiot ..[emoji23][emoji23][emoji23]Site yangu ipi? Mimi nina site?
Moja ya taarifa uliyoitoa kwenye wikipedia ni hii hapa:-
Tanzania Air Force Command - Wikipedia
Taarifa zote zilizowekwa wameonesha references ambazo ukizifuata hazipo.
Reference No 1 haipo. Sasa hicho tu kinaonesha namna ya hizo data kwamba ni za kupika.
Hii hapa ni nini ..wacha upumbavu
Hahahaha, in the European world only Albania uses "the Tanzanina"Chengdu J-7 hahahah, they are obsolete!!!
"Which are equal to f 15" unathani hatuwezi google[emoji23] [emoji23]Point of correction: Tanzania doesn't possess J-7. Tanzania had a great agreement with China to swap all J-7s for 14 J-7Gs which are equal to F15.
Tanzania has a number of Mikoyan Mig 29.
All on all, Kenya has the weakest army in the region, FACT.
You chapatis have miserably failed in Somalia.
Duh wakosoaji on fleek asipokuwepo oooh mbona haonekani au amempiga akiwepo oooh ana umuhimu gani! Very funny.Hivi mke wa rais ana majukumu gani kwenye ziara ya kiserikali kama hiyo?
Hazina faida yoyote na hata ikitokea vita wataenda kupigana ngumi tuTanzania kunaa vitaa au hzo ndege zinatusaidiajee km watanzania au unaweza kukodishia nchi zenye vita tukapata fedhaa..naomben kueleweshwa ndugu
Kwahiyo alivyozindua nyumba nhc mtwara alizika viwanda akafufua nyumba? Akizindua kivuko atazika viwanda aanzishe nchi ya vivuko?Ndoto ya viwanda ilishazikwa sasa ni ndege za kivita, anajiandaa na 2020?
Hatujawahi kuvamiwa na wala hatutavamiwa...nadhani hata jeshi lenyewe livunjwe tu sab hatutavamia wala hatutavamiwa milele.Mara ya mwisho kumbukumbu yako inasema tulivamiwa lini na maadui?