Uwanja wa Louisville sasa unaitwa Muhammad Ali International Airport kwa heshima yake

Uwanja wa Louisville sasa unaitwa Muhammad Ali International Airport kwa heshima yake

Mohamed Said

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2008
Posts
21,967
Reaction score
32,074
Wakati wa Muhammad Ali na Sony Liston ulikuwa wakati wangu pia.

Mwaka ni 1964.

Nina umri wa miaka 12 baba yangu kapiga simu nyumbani ananitafuta.

Nilipopokea simu akaniambia, "Rafiki yako Cassius Clay kampiga Sony Liston."

Mji wa Louisville anakotoka Ali umebadilisha jina la uwanja wake wa ndege na sasa unaitwa, Muhammad Ali International Airport.

Nimekuwa siku zote nikimpenda Ali na nilifurahi wakati naandika maisha ya Sal Davis aliponiambia kuwa alifahamiana na Ali London, 1963 hata kabla hajawa bingwa wa dunia.

Hiyo hapi chini ni historia ya Muhammad Ali na Sal Davis:

1122237


''I was working with the BBC Swahili Service and I was producing a program called “Sports Wiki Hii” which in means “Sports This Week.”

Ali came to fight Henry Cooper in London.

At that time he was known as Cassius Clay.

I requested permission from the BBC to interview Cassius Clay.

BBC made the necessary arrangements and an appointment was secured. Ali was staying in at the Regency Hotel in Piccadilly.

I went to see him with my tape recorder and when I knocked the door of his suite Drew Bundini came to open the door.

Bundini was a personal aid to Mohamed Ali.

There is lot one can talk on Bundini and Ali. Bundini and Ali were inseparable.

Bundini was all things to Ali during Ali’s carrier in the ring and was just as famous. Bundini was Ali’s handler, bodyguard, court jester, you name it.

He was like a shadow to the champion. Ali brought into boxing things which had never been there before.

He revolutionalised and made the game to be more interesting and intelligent instead of it being sheer muscle and stamina.

That is the reason people came to love Ali and the game during his reign.

I remember Bundini telling me, “Kid who do you want to see,” I told him I wanted to see Cassius.

Bundini called into the room, “Champ there is a kid here who wants to see you.” At that time Ali was not world heavy weight champion but Bundini used to refer to him as “champion.”

I introduced myself as Salim Abdallah.

I was not yet Sal Davis at that time.

Ali asked me, “are you a Muslim?’

I told him I was a Muslim. Ali asked me to tell him about Islam.

“I am interested in this religion,” Ali told me.

“Do you know Elijah Muhammad?”

He asked me.

“I belong to that sect.”

At that time Ali had not yet converted to Islam.

I interviewed him and he asked me to come back to the hotel in the evening so that we can go out together for dinner.

I went back that evening and I took them to a restaurant at Baker Street called “Diwani I am.”

This was an Indian restaurant which was famous for oriental cuisine.

We were five of us, Muhammad Ali, Angelo Dundee, Bundini and me.

This restaurant was to become a point of attraction in London when Ali became famous because they displayed Muhammad Ali’s photos dining there.

I do not know if the restaurant is still there and if it is there if the photos are hanging on its walls.

It was in 1964 that Ali announced that he was a Muslim.

When I was in Paris I used to stay late to watch Ali’s fights.

He had defeated Sony Liston and Ali was now the world heavy weight champion the greatest of all time as he used to call himself.

I met Ali again in 1966 in Frankfurt, Germany.

I was going to Kenya but since I heard that Ali was in Frankfurt to fight Germany heavy weight champion Karl Mildenbeger I decided to first fly to Frankfurt before going to Nairobi.

Ali had set his training camp in a hotel in the centre of Frankfurt at a place known as Zeil Street.

This is the main street in Frankfurt.

There was a gym at the top floor of the hotel.

If you take a lift to the gym the lift door faces direct towards the gym.

I took a lift up I was with a friend of mine called Al Jones, he like me was in the show business.

As the door opened I came face to face with Ali who was in the ring spurring.

Ali shouted at me, “Salim I am a Muslim now.

Don’t go anywhere I want to talk to you.”

There were a lot people watching Ali training and all of them turned and looked at me wondering who I was.

“No Champ I am here,” I shouted back.

After finishing sparring he went to take shower and then he sent for me.

I went and we sat together on a bench and we talked.

“Can you come for breakfast tomorrow early morning, I do my running then I have my rub then I have my breakfast,” Ali told me.

He was staying at the Intercontinental.

I went to the hotel early morning around 6.30.

He did his running then came back to the hotel for his rub.

We were together as his handlers worked on him.

After finishing we went for breakfast.

What I remember about that breakfast in Frankfurt is that Ali was eating only meat, big chunks of meat six pieces in all.

The meat was imported from America.

Ali had a very big built.

After that I have never seen Ali again.''

In the middle at the back row is Sal Davis with other staff of the BBC Swahii Service.

Middlle row second right is Ahmed Rajab.

Zaidi ya nusu karne toka siku ile baba yangu aliponipigia simu kunifahamisha kuwa rafiki yangu Cassius Clay amempiga Sony Liston nilifika New York na nilikwenda Guy Madison Square Garden.

Huu ni uwanja ambao Muhammad Ali alipigana mapigano yake mengi.
Nilitaka kuona pakoje.

1122238


Hiyo picha hapo juu nimeipiga na ipo kwenye lango kuu.

Picha hii ni pigano la Muhammad Ali na Joe Frazier mwaka wa 1971 lililopewa jina la ''Pigano la Karne.''
 
Yote heri ila mie ungenijulisha wakati faza anakupigia simu kukueleza mohamedalli amepigwa alitumia simu ipi simu tembezi(mobile phone)au simu tuama(table phone)????
 
Poor English...with some errors in it
As for example saying about 12 : 30 am instead of Around 12 : 30 AM

BTW, nice story
 
Yote heri ila mie ungenijulisha wakati faza anakupigia simu kukueleza mohamedalli amepigwa alitumia simu ipi simu tembezi(mobile phone)au simu tuama(table phone)????
Kabati...
Simu za miaka ile kubwa kama nusu tofali zote rangi nyeusi.

Akipokea mtu kama si yake anakuita kama uko nje uje ndani mbio hasa ukiambiwa, "Fulani baba anakuita."
 
Poor English...with some errors in it
As for example saying about 12 : 30 am instead of Around 12 : 30 AM

BTW, nice story
Azarel,
"I went to the hotel early morning around 12.30 am."

Ahsante sana ndugu yangu ikiwa kuna makosa mengine nitashukuru kama utanionyesha nipate kusahihisha.
 
Brother Mohamed, ilikuwaje Salim Abdala akaja kuwa Sal Davis! Alipata mchumba mzungu akabadili dini?
 
Brother Mohamed, ilikuwaje Salim Abdala akaja kuwa Sal Davis! Alipata mchumba mzungu akabadili dini?
Gagnija,
Hilo ni jina lake la kisanii.

Alipokuwa Ulaya anatoa rekodi za santuri.
Cover ingeandikwa, "Shariff Salim Abdallah," pangekuwa na shida kwa wanunuzi wa muziki wake.

Jina lingewahangaisha.

Lakini "Sal Davis."
Mara moja anaeleweka yeye na muziki wake.

Alikuwapo katika wakati wake muimbaji mwimgine Marekani akiitwa Sammy Davis.
 
Gagnija,
Hilo ni jinq lake la kisanii.

Alipokuwa Ulaya anatoa rekodi za santuri.
Cover ingeandikwa, "Shariff Salim Abdallah," pangekuwa na shida kwa wanunuzi wa muziki wake.


Jina lingewahangaisha.

Lakini "Sal Davis."
Mara moja anaeleweka yeye na muziki wake.

Alikuwapo katika wakati wake muimbaji mwimgine Marekani akiitwa Sammy Davis.
Mkuu naomba kwa heshima nitofautiane na wewe. Salim alichofanya ni uoga na kutokujiamini. Muhamad Ali angekuwa na mawazo kama ya Salim naye angebaki na u-Clay wake.
 
Mkuu naomba kwa heshima nitofautiane na wewe. Salim alichofanya ni uoga na kutokujiamini. Muhamad Ali angekuwa na mawazo kama ya Salim naye angebaki na u-Clay wake.
Gagnija,
Hakuna haja wala sababu ya kunitaka radhi kwani hutofautiani na mimi bali
na Sal Davis mwenyewe ambae hayo uliyosoma ndiyo aliyoeleza katika huo
mswada.

Msikilize Sal Davis kwa kauli yake mwenyewe anavyolieleza jina lake:

''When I arrived in Mombasa the entire family lead by my father and mother
came to receive me at the airport.

I had left Mombasa a young boy now I was coming back young in age but
old in experience.

I remember the first question my father asked me was about my name ‘Sal
Davis.’


Have I abandoned Islam?

I told my father that I was still a Muslim.

‘You know dad in show business people are not known by their real names.

If I were to make an entrance on stage and with my introduction as, ‘Salim
Abdallah Salim
,’ the audience would think I am a magician.

I play the flute to charm snakes!

Sal is just my professional name dad I am still a Muslim and my name is still
Salim.

My father was pleased to hear that.
 
Azarel,
Nasubiri msaada wako nisahihishe makosa mengine ya lugha katika hiki kipande cha Sal Davis.

Natanguliza shukurani.
 
Azarel,
Nasubiri msaada wako nisahihishe makosa mengine ya lugha katika hiki kipande cha Sal Davis.

Natanguliza shukurani.
Azarel,
Bado nasubiri msaada wako katika kusahihisha lugha katika bandko langu.
Natanguliza shukurani zangu.
 
Poor English...with some errors in it
As for example saying about 12 : 30 am instead of Around 12 : 30 AM

BTW, nice story
Azarel,
Nimekuomba hapa Majlis unisaidie kufanya masahihisho ya kipande
cha bandiko langu ulilosema ni, ''poor English... with some errors.''

Umekuwa kimya labda hujapita hapa Barzani au umepita lakini hofu
imekupata kurejea kwangu tena.

Kwa nini mimi nakurejea?
Nakurejea kwa sababu umenifanyia ihsani kubwa kwa kunifunza.

Kuanzia siku ile nimekuwa mjanja zaidi kwani umenifunza kuwa
katika Kiingereza sentensi kama ile si ''about,'' bali ni ''around,'' na
nilikushukuru na hapo hapo nikasahishisha sentensi yangu.

Lakini juu ya wema ulionifanyia nilipokuwa nakusoma nimeona
kibri kwenye maandishi yako umekuja kwangu kwa nia si nyingine
ila kunifedhehesha kuwa sijui Kiingereza.

Ilikuwa wewe baada ya kuona kosa lile ni kunieleza kuwa kuna kosa
la ''grammar,'' na kunielekeza.

Huu ndiyo uungwana na ndiyo sifa ya usomi.

Lakini umekuja kwa jeuri,
Umehamaki pasi na sababu.

Inawezekana kilichokughadhibisha ni hasad katika nafsi yako kwani
katika bandiko lile kuna mengi ya kukushughulisha lakini haya kwa
ubaya uliozingira moyo wako kutokana na husda na wivu umekuwa
kipofu kwayo.

Umeona kutukana, ''Poor English... with some errors,'' ndilo la kusemea
ukidhani utaniumbua.

Hunijui.
Jifunze adabu ya elimu ni somo litakalokusaidia sana.

Mtu aliyeelimika haandiki shari wala hatukani katika maandishi yake.

Aliyeelimika watu hukimbilia kumsoma kwa kuwa kuna faida katika
kalamu yake.
 
Mohammed Said Mimi si mjuzi wa lugha, unaweza kupitia aya ya kwanza kwenye bandiko namba 15 juu ya maelezo ya Sal Davis.

Hapafu naona umeghabidhika sana bila sababu kumhusu Azarel. Pengine hajarejea kwa sababu Jukwaa hili la historia si maarufu hapa Jf kwa uchangiaji
 
Back
Top Bottom