Uwanja wa maonyesho ya nanenane jijini Mwanza wajengwa baa za kuuza pombe.

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Uwanja wa nanenane uliopo jijini mwanza nyamhongolo umejengwa baa za kuuza pombe, Kuna huduma zote nyama choma, malaya kibao na sehemu za kucheza watoto.
Ikumbukwe kuwa huu ni uwanja uliotengwa na serikali kwaajili ya maonyesho ya nanenane inakuaje ujengwe baa??
 
Mleta mada hebu acha uongo bana, hakuna aliyejenga pale vyote unavyoviona ni vya kuleta jumamosi na kuondoa usiku, kesho ukienda unapakuta ni peupe
 
Acha maendeleo yachukue nafasi. Kama hizo pombe na malaya wanaongeza kipato cha Taifa basi acha wabakie hapo.
Maendeleo gani?? Ufusika unaofanyika apo haunamaendeleo chanya kwa taifa na watu wa mwanza sizani kama hata TRA wanachukua mapato hapo maana vimejengwa kinyamela tu.
 
Mleta mada hebu acha uongo bana, hakuna aliyejenga pale vyote unavyoviona ni vya kuleta jumamosi na kuondoa usiku, kesho ukienda unapakuta ni peupe
Ck za nyuma ilikuwa jmos na walikuwa wanamualika mkuu wa mkoa kuchoma nyama ila Sasa ni kila siku wapo, na wamejenga kabisa na baa zao
 
Maendeleo gani?? Ufusika unaofanyika apo haunamaendeleo chanya kwa taifa na watu wa mwanza sizani kama hata TRA wanachukua mapato hapo maana vimejengwa kinyamela tu.
Kwamba kwa akili yako unahisi mamlaka hazifahamu uwepo wa hayo mabanda. Bado kuna eneo limeachwa wazi hapo wewe unapata shida gani? Hao malaya wanajenga nchi kwa namna yao acha wivu wa kijinga ndg yangu. Malaya acha auze mbunye watu waburudike wapunguze stress
 
Uwanja wa nanenane uliopo jijini mwanza nyamhongolo umejengwa baa za kuuza pombe, Kuna huduma zote nyama choma, malaya kibao na sehemu za kucheza watoto.
Ikumbukwe kuwa huu ni uwanja uliotengwa na serikali kwaajili ya maonyesho ya nanenane inakuaje ujengwe baa??
Kwa nini hawajajenga viwanda mfano vinavyoendana na nanenane kama vile viwanda vya nguo ili tupunguzw utegemezi wa kuchuuza bidhaa za China?
 
Kwamba kwa akili yako unahisi mamlaka hazifahamu uwepo wa hayo mabanda. Bado kuna eneo limeachwa wazi hapo wewe unapata shida gani? Hao malaya wanajenga nchi kwa namna yao acha wivu wa kijinga ndg yangu. Malaya acha auze mbunye watu waburudike wapunguze stress
Wakanunue viwanja vyao wajenge vibanda waache eneo la wakulima
 
Kwa nini hawajajenga viwanda mfano vinavyoendana na nanenane kama vile viwanda vya nguo ili tupunguzw utegemezi wa kuchuuza bidhaa za China
Huenda walikuja watu kuomba wajenge vibanda wakakataliwa maana watu wanapenda hanasa sana
 
Bora wapajenge tu maana nana nane zikiisha huwa panapoa Sana, ila pakijengwa watu wakaendelea kupata unjwaji patakaa katika hali ya uchangamfu.
 
Ndicho kilichobakia bongo
Vp wakuna nazi hawajaja huko

Ova
 
Back
Top Bottom