Maendeleo gani?? Ufusika unaofanyika apo haunamaendeleo chanya kwa taifa na watu wa mwanza sizani kama hata TRA wanachukua mapato hapo maana vimejengwa kinyamela tu.Acha maendeleo yachukue nafasi. Kama hizo pombe na malaya wanaongeza kipato cha Taifa basi acha wabakie hapo.
Ck za nyuma ilikuwa jmos na walikuwa wanamualika mkuu wa mkoa kuchoma nyama ila Sasa ni kila siku wapo, na wamejenga kabisa na baa zaoMleta mada hebu acha uongo bana, hakuna aliyejenga pale vyote unavyoviona ni vya kuleta jumamosi na kuondoa usiku, kesho ukienda unapakuta ni peupe
Kwamba kwa akili yako unahisi mamlaka hazifahamu uwepo wa hayo mabanda. Bado kuna eneo limeachwa wazi hapo wewe unapata shida gani? Hao malaya wanajenga nchi kwa namna yao acha wivu wa kijinga ndg yangu. Malaya acha auze mbunye watu waburudike wapunguze stressMaendeleo gani?? Ufusika unaofanyika apo haunamaendeleo chanya kwa taifa na watu wa mwanza sizani kama hata TRA wanachukua mapato hapo maana vimejengwa kinyamela tu.
Kwa nini hawajajenga viwanda mfano vinavyoendana na nanenane kama vile viwanda vya nguo ili tupunguzw utegemezi wa kuchuuza bidhaa za China?Uwanja wa nanenane uliopo jijini mwanza nyamhongolo umejengwa baa za kuuza pombe, Kuna huduma zote nyama choma, malaya kibao na sehemu za kucheza watoto.
Ikumbukwe kuwa huu ni uwanja uliotengwa na serikali kwaajili ya maonyesho ya nanenane inakuaje ujengwe baa??
Wakanunue viwanja vyao wajenge vibanda waache eneo la wakulimaKwamba kwa akili yako unahisi mamlaka hazifahamu uwepo wa hayo mabanda. Bado kuna eneo limeachwa wazi hapo wewe unapata shida gani? Hao malaya wanajenga nchi kwa namna yao acha wivu wa kijinga ndg yangu. Malaya acha auze mbunye watu waburudike wapunguze stress
Lipo linalaza macho tu utafikri imo!Viongozi wapo bize kuiba hela unategemea nini?