Uwanja wa mapatano

chiqutitta

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2015
Posts
1,160
Reaction score
3,124
Jamani humu ndani sote tunajua si wote damu zimeendana wengine humu twachukiana kwa sababu au bila sababu

Mwingine anatokea tu kutomkubali member
fulani kutokana thread zake au comment zake wengine wanapita kimyakimya bila kutia neno hata kama amechukizwa lkn wengine wanarushiana maneno na kuna kichuki kinakuwa kimejengeka....
Ni muda wa mapatano toa povu kwa huyo member povu liwe zito haswaaa mpaka litakatishe mazingira.... Wasuluhishi tupo tutaweka mambo yawe sawa hata kama unamchukia mtu bila sababu sema nae aje kutoa mapovu yake. Karibuni



Mimi naanza na huyu nanii dah kanipita jina nitarudi nimtolee mapovu yangu
 
Unachukia ID au unamchukia mtu?
Kama hilo lipo basi watu wana vipaji, unamchukiaje mtu usiyemfaham?
 
Naanza nawe.. comments zako ni adimu kama sarafu ya Sh10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…