Uwanja wa mechi ya Zambia na Cape Verde ni aibu kwa Afrika

Kitaja

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
2,836
Reaction score
1,382
Naagalia hii mechi kati ya Zambia na Cape verde yaani ni aibu tupu mvua inanyesha na uwanja umejaa maji hata radha ya mpira hamna. Hivi kwa nini mechi isiahirishwe ili kulinda heshima ya Afrika? kwani mechi inachezwa kwenye madimbwi ya maji nadhani hata uwanja wetu wa taifa ni bora kuliko uwanja huu.
 
simba wakiongozwa na marehemu mziray walikula tatu mkwakwani waksema uwanja ulijaa maji, wangeona hii kitu................
 

Mkuu kwa mvua ile hata Stadio Nou Camp ungejaa maji, ilikuwa mvua kubwa sana. Naungana na wewe kushangaa kwa nini wasimamizi wa mechi waliamua mechi iendelee kwenye hali kama ile. Kuhusu ubora wa uwanja nadhani sio mbaya sana kwani kama uli-notice baada ya mvua kukatika sehemu kubwa ya uwanja ilikuwa inachezeka ukiondoa sehemu chache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…