Kitaja
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 2,836
- 1,382
Naagalia hii mechi kati ya Zambia na Cape verde yaani ni aibu tupu mvua inanyesha na uwanja umejaa maji hata radha ya mpira hamna. Hivi kwa nini mechi isiahirishwe ili kulinda heshima ya Afrika? kwani mechi inachezwa kwenye madimbwi ya maji nadhani hata uwanja wetu wa taifa ni bora kuliko uwanja huu.


