FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,882
- 5,087
Kusije kuwa tena na visingizio tarehe ikifika na kulazimika kuipeleka mechi kwingine.Maandalizi na marekebisho yafanyike sasa na ikiwezekana uwanja ufunikwe kwa turubai hizi mvua zisiuharibu na kusiruhusiwe shughuli yoyote ile mpaka siku Berkane waje kukutana na kiama chao mbele ya Watanzania elfu 60, Watu tunyanyue makwapa.Maana imeshazoeleka Waswahili s Watu wakushtukizwa tu.