NAKAZIAKusije kuwa tena na visingizio tarehe ikifika na kulazimika kuipeleka mechi kwingine.Maandalizi na marekebisho yafanyike sasa na ikiwezekana uwanja ufunikwe kwa turubai hizi mvua zisiuharibu na kusiruhusiwe shughuli yoyote ile mpaka siku Berkane waje kukutana na kiama chao mbele ya Watanzania elfu 60, Watu tunyanyue makwapa.Maana imeshazoeleka Waswahili s Watu wakushtukizwa tu.
Mnaenda South kukamilisha ratiba, fainali ipi hiyo?Kusije kuwa tena na visingizio tarehe ikifika na kulazimika kuipeleka mechi kwingine.Maandalizi na marekebisho yafanyike sasa na ikiwezekana uwanja ufunikwe kwa turubai hizi mvua zisiuharibu na kusiruhusiwe shughuli yoyote ile mpaka siku Berkane waje kukutana na kiama chao mbele ya Watanzania elfu 60, Watu tunyanyue makwapa.Maana imeshazoeleka Waswahili s Watu wakushtukizwa tu.
😆😆😆😆😆Kusije kuwa tena na visingizio tarehe ikifika na kulazimika kuipeleka mechi kwingine.Maandalizi na marekebisho yafanyike sasa na ikiwezekana uwanja ufunikwe kwa turubai hizi mvua zisiuharibu na kusiruhusiwe shughuli yoyote ile mpaka siku Berkane waje kukutana na kiama chao mbele ya Watanzania elfu 60, Watu tunyanyue makwapa.Maana imeshazoeleka Waswahili s Watu wakushtukizwa tu.
Labda kombe lake la mbuzi na vibabu vifupiNilitaka niandike thread kama hii...
Ni aibu simba kuchukua kombe lake la shirikisho nje ya uwanja wa Mkapa... chonde Bodi ya Ligi ,TFF , Pamoja na wizara ya michezo, uwanja ukamilike mapema ili simba atwae kombe lake hapo kwa mkapa...
Labda kombe lake la mbuzi na vibabu vifupi
Fainali gani?Fainali gani?
[emoji706][emoji706][emoji706]Labda kombe lake la mbuzi na vibabu vifupi
YamuunganoFainali gani?