Ni aibu kwa halmashauri ya mji wa Babati kuweza kujenga mamia ya frem za biashara kuzunguka uwanja wa mpira wa Kwara halafu wasiweze kuweka huduma ya choo.
Biashara mbali mbali zinafanyika katika eneo hili zikiwemo za vyakula, bar, butchers, saloon nk nk lakini ukitaka kukojoa unaambiwa ni hapo hapo pembeni ya duka kwenye ukuta.
Ajabu sana...
Maafisa afya wapo, wanaona wateja wa hizi bar tunavyopangana waume kwa wake kukojoa kwenye mitaro na ukutani, sema hawana jinsi maana Halmashauri washachukua kodi yao na choo ndo hawataki kujenga.
Nani wa kulaumiwa?
Haya Babati tungoje kipindupindu tuhare