Uwanja wa ndege Musoma kujengewa runway km 1.6

Uwanja wa ndege Musoma kujengewa runway km 1.6

CCM ndio nchi, na nchi ndio CCM. Kama ulimchagua Magufuli ktk uchaguzi mkuu (kabla ya kufa kwake) basi umemchagua Samia na kama Uliwachagua hao ndio umeichagua CCM, na kama uliichagua CCM basi umechagua nchi na maendeleo
Mataga mnatia aibu ya karne masikini mweeeeeee
 
Jiwe ndiye analaumiwa kuipendelea chato na wana chato wenzake.

Musoma unaweza kuilinganisha na chato kijijini?
Diversification of economy,tumia ubongo kufikiri.
 
Hata nami nimemwambia hivyo hivyo.
Ila nia yake ilikuwa ni kumsafisha jiwe
Kwa hii nchi ni ya mtu? Kila kinachofanywa kwa maendeleo ya wananchi ni kwa manufaa ya umma. Uwanja wa chato utatumika kwa manufaa ya watanzania wote.
 
Jiwe ndiye analaumiwa kuipendelea chato na wana chato wenzake.

Musoma unaweza kuilinganisha na chato kijijini?
kwani kiwanja cha musoma kilijengwa lini na jiwe kaingia lini na hao wengine walikipanua kwa ukubwa gani tangu kijengwe
 
Kwa hii nchi ni ya mtu? Kila kinachofanywa kwa maendeleo ya wananchi ni kwa manufaa ya umma. Uwanja wa chato utatumika kwa manufaa ya watanzania wote.
Aende nani huko wewe?
Tangu mazishi yaishe hadi leo haija kanyaga ndege.
 
Moyo utayayuka kwa furaha mama akijenga international airport pale kijijini kwake Zanzibar.
 
Back
Top Bottom