GE2025 Uwanja wa ndege Sumbawanga umekamilika, tutajenga mwingine

GE2025 Uwanja wa ndege Sumbawanga umekamilika, tutajenga mwingine

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Mgombea ubunge wa Jimbo la sumbawanga mjini kupitia Chama Cha Mapinduzi Aesh Khalfan Hilaly ameendelea kufanya mikutano ya kampeni za kuomba kura kwa wananchi na akiwa katika kata ya Katandala, ameinadi ilani ya uchaguzi ya CCM na kueleza vipaumbele vyake endapo atapewa ridhaa na kuchaguliwa kuwa Mbunge kwa mara nyingine Tena.

 
Kuna anaye muda kupanda hizo. ndege? hata ma Bus VIP tu huko wanao mudu ni wakuhesabu
 
Back
Top Bottom