Uwanja wa ndege wa kijeshi wa Hamas nchini Syria washambuliwa

Uwanja wa ndege wa kijeshi wa Hamas nchini Syria washambuliwa

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Ripoti za milipuko mingi karibu na uwanja wa ndege wa kijeshi wa Hama nchini Syria. Baada ya jana Syria kurusha makombola 2 kuelekea Golan hata hivyo makombola hayo yalipopolewa..

Leo hii Israel imeamua kuzishambulia ghala za silaha za Syria huko Hama!!

 
Wamefanyaje hao sham al tahrir, mbona walishamuondoa assad?
 
Wanavuna walichopanda let it be..
 
Assad atakuwa jasusi wa Israel maana toka aondoke Israel imekuwa ikifanya Syria kama sehemu ya kutest silaha
 
Back
Top Bottom